Klabu ya Mbao Fc imeumizwa na kucheza mechi nne mfululizo ugenini.

Mbao ipo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi, ina pointi 19 baada ya kucheza mechi 22 huku ikiwa imebakiza michezo nane kabla ya ligi kumalizika.
MECHI ZANYUMBANI.
07/02/2018 Mbao 1-2 Singida United
11/02/2018 Mbao 0-0 Mtibwa Sukari.
MECHI ZA UGENINI
26/02/2018 Simba 5-0 Mbao
03/03/2018 Tanzania Prisons 1-0 Mbao
07/03/2018 Mbeya City 2-1 Mbao
11/03/2018 Azam 2-1 Mbao
Post a Comment